The Teacher
Senior Member
- Feb 2, 2013
- 176
- 81
Kwa kifupi nilikariri darasa la saba so nilifanyia mtihani jina la mtu mwingine na jina hilo nimeendelea nalo katika level zote za elimu na kwa sasa nimwajiriwa serikalini kutumia jina hilohilo, mwenye kujua utaratibu namna ya kubadilisha jina anijuze please..nataka kutumia jina langu halisi.