Msaada namna ya kubadili jina

Kwa wale walio shule,muda mzuri usio na mlolongo kubadili majina ni ukiwa kidato cha I,II kabla ya mitihani ya kitaifa
 
Affidavit hutumika pale unapotaka kurectify errors katika jina lako na inatumika once mara unapokuwa umekwama.. ila unapotaka kuweka jina lako vizuri au kubadili basi inakupasa kuandaa deed poll ambayo husajiliwa Ardhi then kutangazwa katika government gazette.. available for consultation.
 
Kwa wale walio shule,muda mzuri usio na mlolongo kubadili majina ni ukiwa kidato cha I,II kabla ya mitihani ya kitaifa

Mimi niliwahi kubadili jina sekondari namimi nilitumia la mtu. kunaform nilijaza ikasainiwa na hakim wa mwanzo basi ishu ikaisha. nilikua f3 bwiru, miezi kama sita hiv nikashindana na walim nikaenda privet, kwasababu matokeo ya f2 yalikuwa na jina la zamani ilibidi niwape kopi na wakaipokea. mpaka leo natumia la kwangu.

naombeni namimi msaada. umri nilio tumia ni ule wa lile jina la kwanza na cheti cha kuzaliwa ninacho kwa jina jipya lakini umli huo uko chini miaka minane kwa wakwangu nilionao, na nimeajiriwa nifanyeje ili niubadilishe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…