The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Kwa wale walio shule,muda mzuri usio na mlolongo kubadili majina ni ukiwa kidato cha I,II kabla ya mitihani ya kitaifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Affidavit hutumika pale unapotaka kurectify errors katika jina lako na inatumika once mara unapokuwa umekwama.. ila unapotaka kuweka jina lako vizuri au kubadili basi inakupasa kuandaa deed poll ambayo husajiliwa Ardhi then kutangazwa katika government gazette.. available for consultation.Kwa kifupi nilikariri darasa la saba so nilifanyia mtihani jina la mtu mwingine na jina hilo nimeendelea nalo katika level zote za elimu na kwa sasa nimwajiriwa serikalini kutumia jina hilohilo, mwenye kujua utaratibu namna ya kubadilisha jina anijuze please..nataka kutumia jina langu halisi.
Kwa wale walio shule,muda mzuri usio na mlolongo kubadili majina ni ukiwa kidato cha I,II kabla ya mitihani ya kitaifa