Habari za mda wadau wa jf.
Ndugu zangu mwaka jana nilinunua laptop aina ya dell latitude 3410 hapa kipindi nainunua niliikuta ikiwa na setup ambayo inaiwezesha kuwasha kwa kukunjua tu ile screen yake. Ni kwamba huwezi kuwasha wala kuzima kwa kutumia power button.
Kwa mda mrefu nilikuwa nikiitumia hivo hivo ila nimeona kuna usumbufu unajitokeza kadri siku zinavyokwenda.
Hivyo nikaamua kuangalia namna ya kubadilisha hiyo setup, nilikuja kuona ili kubadilisha inahitajika kuwa na BIOS password lakini mimi sina hiyo password.
Kwa anaefaham naomba kujua kama kuna namna naweza kuresert hiyo password na pia kama kuna njia nyingine ya kuweza kubadili setup ya laptop ili niweze kuwasha na kuzima kwa kutimia power button.