Mwita Mtu Mrefu
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 739
- 1,113
Haujamshauri sawa sawa.nenda kambini kalianzishe mkuu, uje utupe mrejesho.
Umenena vema mkuu. Binafsi kwa tukio kama hili nisingemuacha aende hivihivi. Zingepigwa vizuri sana tu as long as kalianzisha yeye. Unadandia gari unasogea dirishani kwake pale unasema naye akueleze kama alichokifanya kipo sawa. Uoga unaumiza wengi na kupoteza haki za wengi sana. Hii haina tofauti na matumizi mabaya ya vyeo. Yaani kisa wewe fulani basi ndo ufanye unachojisikia na kuvunja taratibu zilizowekwa. Mkuu kwa upande wangu, zingepigwa.Kwa haya Mataifa fukara wa akili ambayo raia wake wamekubaliana na utawala usio wa kisheria na usio na demokrasia huwezi kupata haki yako hapo.Kuna gharama kubwa sana huwa inalipwa kimya kinya kila siku na wananchi kwa kukubali kuwa na Taifa kama hili.
Hapana kuteteanaWanateteana sana hao...achana nao utapoteza muda wako tu
Kwa Mataifa ambayo hayazingatii utawala wa sheria wala haki za binadamu kama Tanzania angechukua bastola yake kutoka kwenye gari yake kisha anakupiga risasi moja ya paji la uso kisha unakufa hapohapo halafu hakuna kesi wala nini na hata kukiwa na kesi hutatendewa haki.Umenena vema mkuu. Binafsi kwa tukio kama hili nisingemuacha aende hivihivi. Zingepigwa vizuri sana tu as long as kalianzisha yeye. Unadandia gari unasogea dirishani kwake pale unasema naye akueleze kama alichokifanya kipo sawa. Uoga unaumiza wengi na kupoteza haki za wengi sana. Hii haina tofauti na matumizi mabaya ya vyeo. Yaani kisa wewe fulani basi ndo ufanye unachojisikia na kuvunja taratibu zilizowekwa. Mkuu kwa upande wangu, zingepigwa.
Mkuu binadamu ni kiumbe mzuri sana na pia ni mbaya sana, jinsi wanyama wanavyowindana ndivyo ambavyo hata baadhi ya binadamu huwindana hivyohivyo kwa maslahi binafsi.Kwa Mataifa ambayo hayazingatii utawala wa sheria wala haki za binadamu kama Tanzania angechukua bastola yake kutoka kwenye gari yake kisha anakupiga risasi moja ya paji la uso kisha unakufa hapohapo halafu hakuna kesi wala nini na hata kukiwa na kesi hutatendewa haki.
Umenichekesha sana we jamaa, sema kuna siku mzee mmoja mwnajeshi(mkorofi sana) alikuwa barabaran mara ghafla gari ikatokea nyuma ikaikwaruza gari yake ubavuni, ile anahangaika kusimama yule mwenye gari iliyokwaruza gari ya yule dingi, dingi ashashuka chap kumfuata kwa kibabe hatari akashangaa anashuka mdada mrembo alafu kavaa full combat na nyota moja began(luten usu). Manina yule dingi alikuwa SSGT, aling'ata meno kwa hasira akaishia kutoa jambo afande kibao sema yule binti alikuwa mstaarabu sana alimuomba msamaha yakaisha.ungemrushia hata jiwe angesimama tu. Akileta za kuleta mnazichapa tu. ukiona anakuzid unamtia hata kitofa cha kichwa. Usawa huu hamna kumuogopa mtu mzee.
Wanateteana naongea hivi naelewa...mpaka ufike huko ngazi za juu basi utakuwa umefanya kazi kubwa sanaHapana kuteteana
Mkuu jana ulisikia ya Zanzibar waliomvunjia simu mwandishi wa habari?Wanateteana naongea hivi naelewa...mpaka ufike huko ngazi za juu basi utakuwa umefanya kazi kubwa sana
Ok si atafute simu ya mkubwaWanateteana naongea hivi naelewa...mpaka ufike huko ngazi za juu basi utakuwa umefanya kazi kubwa sana
Ishara ya woga unamjengea. Katiba yako inasema kuna aliye juu ya sheriaMmmmh mmmh pole sana ila kambini sio chooni mzee usiende kizembe
mambo ya uraiani anapelekaje kambini.aende polis askari huyo ataftwe kwa RB kama watuhumiwa wengineAende kambini atapokelewa na polisi wa jeshini (MP) watamsikiliza na watamsaidia,Jeshi la Ulinzi Ni jeshi la wananchi.