Msaada namna ya kufikisha malalamiko JWTZ

Pole kwa yaliyokukuta mwaka jana nilishuhudia Lori lao lililokuwa kwenye mwendo kasi na kuparamia haisi yenye abiria na kuua watu 6 na majeruhi mengi!! Walichofanya waliwabeba wakawapeleka hospital ya jirani, na kuondoka zao!!

Hawa Jamaa ni washenzi sana, Ila Taifa la wajinga tumeridhika kunyanyaswa na wao, Hii nchi JWTZ, TISS, CCM wako juu ya sheria
 
Kakimbia kwa sababu anajua ni kafanya kosa, ila ungekuwa umesababisha wewe, basi angesimama na angekushughulikia, ungewahi mapema kuita trafiki mbona angejitaja huko alipo, mkuu wake angemuwajibisha, uzuri wa hawa jamaa hawanaga kutazamana usoni, kama katenda kosa mwenzao watamuwajibisha vikali.
 
Mkuu tengeneza pikipiki yako uendelee na maisha mengine hao jamaa wana mambo za kiwaki sana watakupotezea muda
 
Pole mzee
 
Cha kufanya kwa kuwa umekalili nambar za gali nendanazo tra watakueleza jina la mmiliki wa gali hilo kisha nenda kambini kwao ila ujue watapangwa msitali uchague huyo alie kugonga kama ujakalili sura yake ni ngumu kumtambua sababu watitwa wengi wamevaa magwanda ya kufanana na kofiya ila nambar za gali ndio msaada wako lakini umelipoti kituo cha polisi?
 

Uyo aliekugonga namjua iyo ni zile town hiace ipo kama alphad kwa mbele.

Iyo ni traffic case nenda police kitendo cha traffic waelezee na toa ushahidi wako watakupa PF3 pia watakupa rb no iyo ndo utaenda nayo pale kambini na utaratibu utambiwa na hao hao traffic.

Ukifika kambini ibabidi muelezee useme siku ulifanyiwa ilo tukio na muda ili wajue muhusika alokua na gari siku iyo na kama unamkumbuka itakua vizuri zaidi ila pia nahuakika ni uyu nayemjua maana ndo hua anapenda sifa za ovyo na hua anaendesha ilo gari mala nyingi na utarudishiwa ghalama zako nakuhakikishia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…