MSAADA: Namna ya kufungua kesi inayohusu utapeli uliotokana na Biashara

CEOgwamzy

Senior Member
Joined
Jun 14, 2014
Posts
141
Reaction score
51
Habari ya muda huu wakuu, issue yangu ipo hivi

Mwaka jana mwishoni (December 2024) nliingia makubaliano na kampuni moja kwa ajili ya kununua bidhaa ambayo kwa madai yao wanaagiza kutoka nje ya nchi na ingewachukua mpaka siku 45 kufika Tanzania.

Nlifanya malipo kulingana na Taratibu zao na pia tukaandikishiana mkataba mdogo juu ya malipo hayo pamoja na Mzigo (bidhaa).

Sasa imepita zaidi ya miezi 3 hakuna bidhaa nliyopokea na pia nimekuwa nafatilia kwenye ofisi ya hyo kampuni ila naambulia ahadi zisizo na Ushahidi kuwa kuna dalili ya mzigo.

Nmejaribu kuomba hata nirudishiwe hela lakini naona jambo hilo linakuwa gumu sana, na pia wanaonyesha Dharau juu ya shida yangu.

Swali langu kwa watu wa JF.
-Issue kama hii nnaweza kuanzia wapi kwenye mikono ya sheria (mahakamani) ili angalau haki yangu ipatikane.

-Sheria imekaaje juu ya gharama zangu kulipwa na pia juu ya muda maana hela yangu wamekaa nayo kwa zaidi ya miezi 3 kitu ambacho ni kinyume na Makubaliano....Hakuna fidia nnayotakiwa kulipwa kulingana na Sheria ya Tanzania.

-Kama kuna mtaalamu wa Sheria atakayejitokeza ntakuwa tayari kushirikiana na e ikiwa kuna manufaa ntayapata kutokana na hii issue.
 
Kama milikuwa na mkataba Kuna suala la uvunjaji wa mkataba hapo na utaweza kudai urudishiwe gharama, fidia na madhara mengine kulingana na nature ya case

Kama Kuna utapeli, basi kuna jinai hapo dhidi ya wakurugenzi wa kampuni hiyo.

Cha msingi, tafuta mwanasheria aone na apitie nyaraka zote Ili aone cause of action itakuwa ipi. Kuna mambo kadhaa ya kucheki hapo kabla ya kuamua Kesi Yako iweje, katika mrengo upi na Mahakama ipi.

UKikosa msaada huko nitafute [email protected]
 
Wafungulie jamaa kesi ya kujipatia pesa kwa udanganyifu. Ukiwafungulia kesi ya madai imekula kwako.
 
Tafuta wakili akusaidie, Kwanza hakikisha unapata taarifa zote muhimu za kampuni na wamiliki wake pamoja na mali zao.
NB: Wakili ni muhimu Sana, atakuelekeza cha kufanya hata kama hautapenda akuwakilishe Mahakamani.
 
Back
Top Bottom