Msaada: Namna ya kuipinga sheria mpya kisheria

Larusai Mux

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
979
Reaction score
277
Asalaam wakuu na wanazuoni,
Nahitaji mawazo yenu na ushauri wa namna ya kuipinga sheria yeyote ambayo ni mswaada uliosainiwa punde na raisi wa nchi fulani km Tanzania endapo mimi au makundi mengine yanaona haisaidii taifa zaidi ya kukandamiza haki za wengine.
Kitiba ya nchi ya Tz inasema nini kuhusu hilo?,,na je utaratibu wa kufuata ni upi?,
Naomba majibu na ushauri ili nichukue hatua leo au kwa sheria kandamizi itakaletwa siku yeyote.
 
Katiba inasema endapo sheria yoyote itakuwa incosistence with the Mother law itakuwa haina nguvu...! as provided under the Constitution of united Republic of Tanzania of 1977 Article 64 sub 5..!
 
Katiba inasema endapo sheria yoyote itakuwa incosistence with the Mother law itakuwa haina nguvu...! as provided under the Constitution of united Republic of Tanzania of 1977 Article 64 sub 5..!

nashkuru mkuu,je kifungu tajwa hapo juu tunaweza tolea mifano ya sheria zipi?,na naweza kufuata taratibu zipi kuipinga sheria fulani mfano sheria mpya ya makosa ya kimtandao
 
nashkuru mkuu,je kifungu tajwa hapo juu tunaweza tolea mifano ya sheria zipi?,na naweza kufuata taratibu zipi kuipinga sheria fulani mfano sheria mpya ya makosa ya kimtandao

Kuna case ingia net uitafute utapata maelezo mazuri koz ni topic ndefu kidogo but ni High court and court of appeal wana jurisdiction ya ku entertain these matters case "Kukutia ole pumbun vs Republic T.L.R"..! sina full citation but ukiingia net utaipata ni famous kama za Mtikila
 
nashukuru kwa mwongozo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…