Larusai Mux
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 979
- 277
Asalaam wakuu na wanazuoni,
Nahitaji mawazo yenu na ushauri wa namna ya kuipinga sheria yeyote ambayo ni mswaada uliosainiwa punde na raisi wa nchi fulani km Tanzania endapo mimi au makundi mengine yanaona haisaidii taifa zaidi ya kukandamiza haki za wengine.
Kitiba ya nchi ya Tz inasema nini kuhusu hilo?,,na je utaratibu wa kufuata ni upi?,
Naomba majibu na ushauri ili nichukue hatua leo au kwa sheria kandamizi itakaletwa siku yeyote.