Habari wana Jukwaa La Elimu,..
Nina mdogo wangu anataka kujiunga na kozi za afya kupitia wizara ya afya,.
Mwaka huu utaratibu wa kujiunga umebadilika, maombi yanatumwa Nacte kwa kujaza fomu kwenye mtandao wa Nacte.
Kwa anayefahamu namna huu utaratibu mpya unafanyika vipi tafadhali nahitaji msaada maana muda unakwisha,
Malipo ameshafnya kwa M-Pesa kwa hiyo anazo namba za uhakiki wa malipo, hizo ndizo anatakiwa kuziingiza kwenye fomu iliyopo mtandaoni ili kumalizia usajili.
Tafadhali msaada wako ni muhimu sana,...