Msaada Namna Ya Kujaza Fomu Za Maombi Ya Kozi Za Afya Kupitia Nacte!!

Msaada Namna Ya Kujaza Fomu Za Maombi Ya Kozi Za Afya Kupitia Nacte!!

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
20,834
Reaction score
26,217
Habari wana Jukwaa La Elimu,..

Nina mdogo wangu anataka kujiunga na kozi za afya kupitia wizara ya afya,.

Mwaka huu utaratibu wa kujiunga umebadilika, maombi yanatumwa Nacte kwa kujaza fomu kwenye mtandao wa Nacte.

Kwa anayefahamu namna huu utaratibu mpya unafanyika vipi tafadhali nahitaji msaada maana muda unakwisha,

Malipo ameshafnya kwa M-Pesa kwa hiyo anazo namba za uhakiki wa malipo, hizo ndizo anatakiwa kuziingiza kwenye fomu iliyopo mtandaoni ili kumalizia usajili.

Tafadhali msaada wako ni muhimu sana,...
 
Ingia kwny website yao, co kaz kuja kwn kuna maelkez ya kutsh pale fany harak maan 30Jun nd mwsh wa kutma maomb.
barikwa!
 
Back
Top Bottom