Msaada: Namna ya kulipa ada ya kozi ya online

Restless Hustler

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2017
Posts
5,150
Reaction score
20,025
Kuna kozi nataka nisome inayotolewa na Chuo kimoja Cha ujerumani. Sasa wamenielekeza namna ya kulipia ila sijaelewa maana sijawahi Kufanya International transactions. Tafadhali nisaideni. Naambatanisha na screenshot ya maelekezo yao
 
Attachments

  • Screenshot_20230319-145715.png
    Screenshot_20230319-145715.png
    30.3 KB · Views: 8
Verify kwanza chuo kama ni chenyewe. Hakiki account zao na website zao mitandaoni. Watumie email wakupe brief.

Ukiwa na uwakika kila kitu rahisi. Kama hapo utaitaji kua na MasterCard or visa card. Yenye tarehe na cvv zake utahakikisha una salio. Utalipa
 
Kuna kozi nataka nisome inayotolewa na Chuo kimoja Cha ujerumani. Sasa wamenielekeza namna ya kulipia ila sijaelewa maana sijawahi Kufanya International transactions. Tafadhali nisaideni. Naambatanisha na screenshot ya maelekezo yao
Tumia hata mpesa au airtel mastercard simple tu
 
Kuna kozi nataka nisome inayotolewa na Chuo kimoja Cha ujerumani. Sasa wamenielekeza namna ya kulipia ila sijaelewa maana sijawahi Kufanya International transactions. Tafadhali nisaideni. Naambatanisha na screenshot ya maelekezo yao
Ingia menu ya mpesa then fungua virtual visa card utatumiwa cvc na tarehe ya kuexipire hio card na card number , Kisha jaza pesa kwenye mpesa yako na uihamishie kwenye visa card yko then lipa kwa kujaza taarifa za card hapo uliposcreenshot

Ni Dak 0

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom