Hi Lady, kwani amekwama akiwa hatua gani? Au ndiyo anaanza kucreate profile?Habari wapendwa,
Nilikua naomba msaada wa namna ya kuomba kazi kupitia ajira portal na nini kinahitajika.
Nahitaji kumsaidia mdogo wangu amekwama.
Asanteni
Namba ya NIDA anayo kwa ajili ya usajili?Habari wapendwa,
Nilikua naomba msaada wa namna ya kuomba kazi kupitia ajira portal na nini kinahitajika.
Nahitaji kumsaidia mdogo wangu amekwama.
Asanteni