lady Jay JF-Expert Member Joined May 29, 2016 Posts 530 Reaction score 659 Apr 28, 2026 #1 Habari wapendwa, Nilikua naomba msaada wa namna ya kuomba kazi kupitia ajira portal na nini kinahitajika. Nahitaji kumsaidia mdogo wangu amekwama. Asanteni
Habari wapendwa, Nilikua naomba msaada wa namna ya kuomba kazi kupitia ajira portal na nini kinahitajika. Nahitaji kumsaidia mdogo wangu amekwama. Asanteni
financial services JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 18,210 Reaction score 43,608 Apr 28, 2026 #2 lady Jay said: Habari wapendwa, Nilikua naomba msaada wa namna ya kuomba kazi kupitia ajira portal na nini kinahitajika. Nahitaji kumsaidia mdogo wangu amekwama. Asanteni Click to expand... Hi Lady, kwani amekwama akiwa hatua gani? Au ndiyo anaanza kucreate profile?
lady Jay said: Habari wapendwa, Nilikua naomba msaada wa namna ya kuomba kazi kupitia ajira portal na nini kinahitajika. Nahitaji kumsaidia mdogo wangu amekwama. Asanteni Click to expand... Hi Lady, kwani amekwama akiwa hatua gani? Au ndiyo anaanza kucreate profile?
I feel good JF-Expert Member Joined Oct 21, 2016 Posts 1,773 Reaction score 3,215 Apr 28, 2026 #3 lady Jay said: Habari wapendwa, Nilikua naomba msaada wa namna ya kuomba kazi kupitia ajira portal na nini kinahitajika. Nahitaji kumsaidia mdogo wangu amekwama. Asanteni Click to expand... Namba ya NIDA anayo kwa ajili ya usajili?
lady Jay said: Habari wapendwa, Nilikua naomba msaada wa namna ya kuomba kazi kupitia ajira portal na nini kinahitajika. Nahitaji kumsaidia mdogo wangu amekwama. Asanteni Click to expand... Namba ya NIDA anayo kwa ajili ya usajili?