Msaada namna ya kuondoa lock katika line ya airtel

Malovee

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2020
Posts
202
Reaction score
324
Hello, naomba msaada namna ya kuondoa lock, nilizima simu nlikuwa naicharge ,then mtoto kaiwasha akaanza kubashiri wrong password ili acheze game.

Now inanitaka ni input 8digits .Sina ata kumbukumbu wapi niliweks puk naomba za line.

Naomba mwenye uelewa anisaifie please
 
Chukua laini nyingine ya Airtel hafu wapigie waambie watakupa PUK ila watakuuliza maswali kama DoB, NIDA no, namba za mwisho kupiga na vocha uliweka kiwango gani.
 
Okay thanks
 
Nam

[/Namba ya kuwapigia ni 100?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…