Msaada namna ya kuondoa weusi katikati ya mapaja

Kuchua mafuta ya Nazi yapake asubuhi when you go out na usiku ukienda kulala.

Au mafuta ya Vaseline + olive oil.

Au tumia spirit hii hii Dawa ya kidonda hii ipake then isugue taratibu halafu niache.

Then,acha kuvaa tight za mpira,then Fanya mazoezi upungue mwili. Maana hali hii inatukuta wenye miili a.k. vibonge.
That's all for today
 
ukiwa unatembea weka rim-paper katka t ya mapaja ili yasisuguane yenyewe (yawe yanasuguana na io karatasi nyeupe nayenyewe yapate kuwa na rangi nyeupe
 
wewe ulishafanya hivi
 
Tuwekee picha mkuu ...au muone daktar ila naye nilazima atalitazama paja ..


Maana izo spot zipo zaina mbali mbali na inasababishwa nasababu mbalimbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…