Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,165
- 16,791
wakati naingia ktk huu uzi mtu wa kwanza kukumbuka ni weweWeka picha wajuzi wa mambo ya ngozi tujue tunakusaidiaje.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakati naingia ktk huu uzi mtu wa kwanza kukumbuka ni weweWeka picha wajuzi wa mambo ya ngozi tujue tunakusaidiaje.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na wewe unataka UshauriAcha kumdanganya mwenzio
duuh aseehTumia maji ya betri sugua kwa msasa
wewe ulishafanya hiviChukua viazi vile vya chipsi viblend upate uji mzito,then changanya na limao au ndimu.Apply wakati wa asubuhi na jion unaipaka kwa dk 10,then ikikauka unaanza kusugua kama unascrub kwa dk kadhaa ukimaliza nawa paka mafuta ya nazi.
Pia uwe unavaa skintight za cotton kupunguza msuguano wa mapaja.Tumia na makwapani kama una weusi...usisahau kutoa feedback after two weeks
Mbona washangaa mkuu?duuh aseeh
Mkuu huo ushauri wako sidhani kama utamfaaMbona washangaa mkuu?
Mpewa ushauri lazima awe mchujaji wa mawazo, mkuu.Mkuu huo ushauri wako sidhani kama utamfaa
[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]Mpewa ushauri lazima awe mchujaji wa mawazo, mkuu.
...lips denda!Acha kumdanganya mwenzio