Msaada namna ya kuondoa weusi katikati ya mapaja

Msaada namna ya kuondoa weusi katikati ya mapaja

Usiwawekee picha kataa!! wanapenda vya bure wengine humu!!! atakaye taka kiubishi picha alipie !! then PM!
 
Hizo ndizo bidhaa zetu tunauzouza na tutafute tunayo mafuta tukuhudumie
 
Hello dear unafanya scrub ? Jaribu kuscrub mara moja kwa wiki . Tafuta scrub ya manjano inasaidia

Kuna mtu anauza hii scrub nafahamiana naye njoo inbox tuongee
 
Paka lotion yenye hyroquinone

Vaa skin tight

Paka vaseline kuepusha msuguano mkali

Regular Body scrub
 
Humu ndani wamejaa umbwa koko kumbe . ni kama kakikundi cha chekechea aisee.
 
Habari za wakati huu wanajukwaa naomba kujuzwa namna ya kuondoa huu weusi katikati ya mapaja maana unanikosesha haga
Asnteni sana
Maganda ya chungwa....saga changanya na olive au Vaseline herbal au mafuta ya Nazi....uwe unapakaa kila siku

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Mtafute yule jamaa aliyesema umemaliza la saba mwaka gan[emoji23][emoji23] yule anapiga pa pa pa pufuu gesi iko mtwara
 
Jaribu pia Tango linasaidia sana kuondoa weusi kwenye ngozi, unaweza kumenya tango kisha katakata vipande vidogo, then vibandike kwenye eneo lenye weusi weusi au makovu pia, acha kwa muda wa dakika 10 hadi 15 kisha viondoe na unawe kwa maji safi.

Inaweza kusaidia kuondoa huo weusi au makovu kama sio kupunguza, pia badala ya kuvikatakata vipande vya matango unaweza unaweza kuliblend tango na kupata uji mzito au maji yake kisha uka-aply eneo husika kwa dkk hizo.
 
Cha kwanza jitahidi kufanya mazoezi ili kupunguza mapaja kusuguana
Pili, Jeans za kubana nazo huchangia mapaj kuwa meusi yanavyogusana, kwaio jitahidi kuvaa boyfriend jeans au mabwanga

Unaweza kuchukua machicha ya nazi, ukajisugua nayo sehemu yenye weusi, mikononi,mapajani nk ukijisugua kwa mda wa mwezi mmoja lazima utaona tofauti

Au chukua ndimu, jisugue nayo sehemu yenye weusi, uzuri itakata harufu mbaya, na itasaidia kutoa uo weusi

Kunywa juice ya carrot au ya tango ina heal from inside
 
Habari za wakati huu wanajukwaa naomba kujuzwa namna ya kuondoa huu weusi katikati ya mapaja maana unanikosesha haga
Asnteni sana
Wasiliana nasi kupata matibabu, Ni SABUNI utapatiwa na itakupa furaha na kujiamini. Piga simu namba 0678211747.
 
Kwani huo weusi unaonwa na wangapi?Tafuta mwenza atakaevutiwa nao mbona mi binafsi navutiwa nao yaani nikiuona nahisi msisimko kabla sijaiona papuchi,ni sawa na kuona urembo juu ya keki kabla hujaiona keki yenyewe
 
Hiyo ipo kwa wanawake wengi hususani waliojaaliwa mapaja,ni kawaida sana kama mikunjo ya kwenye goti huwezi kulazimisha pawe laini kama kwenye paji LA uso
 
Mafuta ya Nazi kamulia ndimu changanya pakaa..

Unga wa majani ya machungwa na Mafuta ya nazi au almond changanya pamoja tumia

Manjano na ndimu.. changanya pamoja tumia

Tumia scrub ya kahawa yenye Mafuta ya nazi au olive changanya na asali na ndimu..walau mara 2 kwa week

Tumia scrub ya manjano changanya na ndimu na asali au maziwa..scrub

Yote niliyoandika matokeo hua Ni mazuri mno.

Vile vile tumia Mafuta ya Nazi/almond/olive/Vaseline ukiwa unaenda kwenye mishe zako.

Uwe na asubuhi njema.
 
Back
Top Bottom