Nadhani humu tuna wataalam wengi tu wakiwemo watu wa TRA, kuna duka nataka kufungua la jumla na rejareja, sasa kwa wale wanaojua gharama za kupata leseni na mlolongo wake ulivyo tujuzane hapa.
Nadhani humu tuna wataalam wengi tu wakiwemo watu wa TRA , kuna duka nataka kufungua la jumla na rejareja , sasa kwa wale wanaojua gharama za kupata leseni na mlolongo wake ulivyo tujuzane hapa.