Msaada; Namna ya kupata leseni ya biashara

Msaada; Namna ya kupata leseni ya biashara

dimaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
4,174
Reaction score
5,658
Habari zenu ndugu zangu,

Nadhani humu tuna wataalam wengi tu wakiwemo watu wa TRA, kuna duka nataka kufungua la jumla na rejareja, sasa kwa wale wanaojua gharama za kupata leseni na mlolongo wake ulivyo tujuzane hapa.

By

Young

Dimaa.
 
Habari zenu ndugu zangu,

Nadhani humu tuna wataalam wengi tu wakiwemo watu wa TRA , kuna duka nataka kufungua la jumla na rejareja , sasa kwa wale wanaojua gharama za kupata leseni na mlolongo wake ulivyo tujuzane hapa.

By

Young

Dimaa.
Nenda Halmashauri ya eneo ulilopo
 
Kipindi cha 2015 kurudi nyuma kulikuwa na urasimu, sijui kipindi hiki
 
Back
Top Bottom