Papaa Kinyani
JF-Expert Member
- Feb 25, 2013
- 1,459
- 699
Una umri gani? Mke gani usiyejua tarehe za hatari? Muulize kungwi au matron wako, au ingia googleWanajf mwezi January nilianza period tarehe 7,February tar 4 na march hii nimeanza leo tarehe 3 naomba msaada ni tarehe zipi naweza kupata mimba maana niko mbali na mume wangu tunataka tupate mtoto nataka aje cku za hatari ili mimba ipatikane.Naomba kuwasilisha.