Msaada namna ya kupata mimba

Una umri gani? Mke gani usiyejua tarehe za hatari? Muulize kungwi au matron wako, au ingia google
 
Eti ugonjwa..! Mbegu za kisasa hizi wewe [emoji3] [emoji3] [emoji23] bila shaka utakuwa mwalimu eti..
Haahaaa mimi ni mwanafunzi WA kila kitu..... ila ilo lako duuh.......So mimba juu ya mimba kupandiana tuu adi zifike ngapi.....But i hope its for the Twins[emoji4]
 
Haahaaa mimi ni mwanafunzi WA kila kitu..... ila ilo lako duuh.......So mimba juu ya mimba kupandiana tuu adi zifike ngapi.....But i hope its for the Twins[emoji4]
Twins wenye tofauti ya muda! Anazaliwa anamwacha mwenziwe akikua..!

Nilimanisha mwalimu academic field, maana huwa nina ndoto ya kuoa teacher but siwapati huko kwenu nitampata??[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu unaishi wapi.....do i luk lyk a teachr...? Aise umenishushia heshima sana tena WA field[emoji134]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu unaishi wapi.....do i luk lyk a teachr...? Aise umenishushia heshima sana tena WA field[emoji134]
Teacher kweli[emoji125] [emoji125] [emoji125] ukupenda kuwa teacher??
 
Pole boss! Mbona mnawazalilisha walimu eti nimekushushia title..!
Yep kwa Bongo ni kazi inayodharaulika sana wakat ndio inatoa professors & professionals....... Wakat kwa wenzetu ndio kazi inayolipa na kuheshimika sana....Eg S.Africa
 
Nimetengeneza android app ipo google play store itakusaidia kutokana na siku ulizoandika mzunguko wako una siku 28, kwenye hiyo app jaza tarehe ya kwanza ya mzunguko wako wa mwisho yan tar 3/4/2017 kisha kwenye urefu wa hedhi weka siku 28 basi itakuonesh ni siku zipi unaweza kupat mimba na zipi huwezi, ina features nyingi kama kukupa notifications siku hiyo ikikaribia. Pia ina lugha ya kiswahili na English

Bofya hapa kupakua My Cycle - Period & Ovulation - Android Apps on Google Play

Jamaa aje kuchimba mchanga tarehe 15-17 march hakika atapata madini stahiki, pia muandalie chakula kamili na ashibe vizuri asije kuishia kutoa povu, then ukaja hapa kusema oohh mlinidanganya oohhh sijui nini mara oohh mbona jamaa alikojolea lakini hamna kitu!!
 
Siku unazoweza kupata mimba ni kuanzia tarehe 12 hadi 17 ila uwezekano mkubwa ni tarehe 16
 
Yep kwa Bongo ni kazi inayodharaulika sana wakat ndio inatoa professors & professionals....... Wakat kwa wenzetu ndio kazi inayolipa na kuheshimika sana....Eg S.Africa
Ndiyo maana Tanzania imedumaa na itabaki kuwa mkomao mpaka tuache kubemenda elimu..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…