Msaada namna ya kupata namba ya kard ya NHIF kupitia portal yao

Nakadi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
7,772
Reaction score
7,372
Habarini jamani...

Ni wiki sasa tuko nilivyoingia kwenye mfumo na kumoongeza mtegemezi kwenye mfumo wa NHIF( ambaye ni mwanangu).

Nakajaribu kusoma status nikaona ni "APPROVED" ila kibaya zaidi hadi Leo hii mfumo haujaniletea namba ya mtoto ili imsaidie katika matibabu yake.

Nimejaribu kupiga namba ya huduma kwa wateja ambayo ni 199, muda wote simu inaita tu bila kupokelewa.
Msaada kwa aliyefanikiwa kupitia huu mfumo Huwa kawaida inakuwaje..?
 
Mm wananisumbua kubadili status yangu namba ya nida kutoka Student kuwa employee yani kimbembe wanataka hadi niende ofisini kwao
 
Back
Top Bottom