Salaam bosses!
Naomba kwa mwenye uelewa namna ya kupata Swift code ani/atueleweshe( in case kama kuna mwenye tatizo kama langu)
Ni kwamba nimejaribu kujaza taarifa zangu kwa usahihi ili kufungua account yangu to Payoneer online bank but hicho kipengele cha mwisho kabisa kikasababisha nishindwe kupata account hiyo.
Nimependa payoneer online bank kwa sababu Wao hukupatia mteja Wao VISA card unayoweza kutolea pesa bank yoyote ile.
Swift code msaada