Msaada namna ya kupata SWIFT Code au bank indentifier Code (BIC)

Msaada namna ya kupata SWIFT Code au bank indentifier Code (BIC)

Freewine

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2018
Posts
257
Reaction score
211
Salaam bosses!
Naomba kwa mwenye uelewa namna ya kupata Swift code ani/atueleweshe( in case kama kuna mwenye tatizo kama langu)
Ni kwamba nimejaribu kujaza taarifa zangu kwa usahihi ili kufungua account yangu to Payoneer online bank but hicho kipengele cha mwisho kabisa kikasababisha nishindwe kupata account hiyo.
Nimependa payoneer online bank kwa sababu Wao hukupatia mteja Wao VISA card unayoweza kutolea pesa bank yoyote ile.
Swift code msaada
 
Kila bank ina SWIFT CODE yake mkuu.Jaribu Ku Google SWIFT CODE ya bank husika.
 
Ni kwamba nimejaribu kujaza taarifa zangu kwa usahihi ili kufungua account yangu to Payoneer online bank but hicho kipengele cha mwisho kabisa kikasababisha nishindwe kupata account hiyo.
1540517745459.png

Chagua/ Tafuta jina la benki yako hapa: https://bit.ly/2Rg7Qo6
 
Back
Top Bottom