dimaa JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 4,174 Reaction score 5,658 Dec 13, 2020 #1 Husika na mada tajwa Kwa mwenye elimu hiyo anifundishe, Kwakuwa kila mtumishi / mwajiriwa ni lazima awe na hiyo TIN namba . Mwisho ni december 31 2020. Nawasilisha.
Husika na mada tajwa Kwa mwenye elimu hiyo anifundishe, Kwakuwa kila mtumishi / mwajiriwa ni lazima awe na hiyo TIN namba . Mwisho ni december 31 2020. Nawasilisha.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Dec 13, 2020 #2 Tembele tovuti ya TRA, muongozo wao upo wazi kabisa... Cc: mahondaw
Mwamuzi wa Tanzania JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 15,486 Reaction score 45,256 Dec 13, 2020 #3 Wewe andaa namba yako ya NIDA kisha nenda Google andika TRA au TIN REGISTRATION kila kitu kitakujia.
dendaboy JF-Expert Member Joined Sep 15, 2016 Posts 1,085 Reaction score 742 Dec 31, 2020 #4 Sandali Ali said: Wewe andaa namba yako ya NIDA kisha nenda Google andika TRA au TIN REGISTRATION kila kitu kitakujia. Click to expand... na vp kuhusu tin namba ya udereva iliyopotea naweza ipata online
Sandali Ali said: Wewe andaa namba yako ya NIDA kisha nenda Google andika TRA au TIN REGISTRATION kila kitu kitakujia. Click to expand... na vp kuhusu tin namba ya udereva iliyopotea naweza ipata online
Mwamuzi wa Tanzania JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 15,486 Reaction score 45,256 Dec 31, 2020 #5 dendaboy said: na vp kuhusu tin namba ya udereva iliyopotea naweza ipata online Click to expand... Yes. Unaipata . Ingia pale then jaribu kuingia kwenye help
dendaboy said: na vp kuhusu tin namba ya udereva iliyopotea naweza ipata online Click to expand... Yes. Unaipata . Ingia pale then jaribu kuingia kwenye help