Msaada; namna ya kupata TIN namba kwa njia ya mtandao.

Msaada; namna ya kupata TIN namba kwa njia ya mtandao.

dimaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
4,174
Reaction score
5,658
Husika na mada tajwa

Kwa mwenye elimu hiyo anifundishe,
Kwakuwa kila mtumishi / mwajiriwa ni lazima awe na hiyo TIN namba . Mwisho ni december 31 2020.

Nawasilisha.
 
Wewe andaa namba yako ya NIDA kisha nenda Google andika TRA au TIN REGISTRATION kila kitu kitakujia.
 
Back
Top Bottom