Haahahaa, pole mkuu maana tayari kuna mtu alishatangulia!
Namna ya kupata TLB
Inaonyesha tayari ushafanya maamuzi ya kununua Eicher maana hadi konda tayari unae,halafu inaonekana ni mtu ambaye hautaki challenge kabisa,kwakua ushafanya maamuzi we endelea tu ilitakiwa ulilete kabla haujanunua ilo eicher.
kinondoni hakuna ofisi ukiacha HQNenda ofisi za Sumatra pale ilala kila kitu utapata hapo.