Msaada: Namna ya kupata TLB ya daladala (Bus la abiria 41) Dar, gharama zake, etc

Msaada: Namna ya kupata TLB ya daladala (Bus la abiria 41) Dar, gharama zake, etc

Liutenant

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
590
Reaction score
899
Habari wana JF!

Ninataka kununua basi kubwa la abiria 41 kwa ajili ya usafiri wa daladala hapa dar kutoka kampuni ya eicher. Naomba kujulishwa namna ya kupata TLB kwa sasa, je kuna usumbufu wowote? Kuna zuio lolote kwa sasa (maana kuna wakati nilisikia wanakataa kutoa TLB)

Gharama za utaratibu huo zikoje?

(Nitakuwa nalisimamia kwa karibu hilo gari mimi mwenyewe na hivyo sitarajii stori za madereva kuleta hasara)

Natanguliza shukrani za dhati.
 
Nenda ofisi za Sumatra pale ilala kila kitu utapata hapo.
 
Inaonyesha tayari ushafanya maamuzi ya kununua Eicher maana hadi konda tayari unae,halafu inaonekana ni mtu ambaye hautaki challenge kabisa,kwakua ushafanya maamuzi we endelea tu ilitakiwa ulilete kabla haujanunua ilo eicher.
 
mkuu tupe ushauri sisi ambao tunatarajia kununua AU Eicher sio nzuri ? ? unatushaurije ?
 
Back
Top Bottom