bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Inavuta tela lenye jembe za kuvuruga au pump za kupuliza dawa.Gari haiwezi kuvuruga, kumwaga mbolea Wala dawa mzee
Watu wapo juu sana kwenye ubunifu.
Kama Sina milioni 60 za kununua treka,nanunua Landover kwa milioni tatu nafanya kazi zote za treka kwa kulimodify