Msaada; namna ya kupata trekta za mtumba aina ya Massey Ferguson 165.

Gari haiwezi kuvuruga, kumwaga mbolea Wala dawa mzee
Inavuta tela lenye jembe za kuvuruga au pump za kupuliza dawa.
Watu wapo juu sana kwenye ubunifu.
Kama Sina milioni 60 za kununua treka,nanunua Landover kwa milioni tatu nafanya kazi zote za treka kwa kulimodify
 
Unaongelea gari kwanza inayoweza kutembea kwenye tope!?
 
Salamu kwenu,

Kwa wataalamu wa matrekta, tusaidizane namna ya kupata trekta ya mtumba aina ya Massey Ferguson 165, bei yake kwa hapa nchini tanzania, ikiwa na mpini wake. Ili nianze kuseti mipango ya kuipata pesa.

Shukrani kwenu.
Please DM
 
Shukrani mkuu, ngoja ni wa Google nipatie abc zao
 
30m ni pamoja na mpini wake?
 
Inavuta tela lenye jembe za kuvuruga au pump za kupuliza dawa.
Watu wapo juu sana kwenye ubunifu.
Kama Sina milioni 60 za kununua treka,nanunua Landover kwa milioni tatu nafanya kazi zote za treka kwa kulimodify
Mkuu huna picha utuwekee tujifunze huo utundu?
 
Karibuni wadau kwa ushauri wenu
 
Mkuu nimepata namba zao Google, kupiga inaniletea South Africa, ni kweli wanapatikana huko?
 
Vip na Massey za dubai na oman?
Tafuta MF ya UK au Afrika Kusini. Kisha uje kunishukuru.

Angalizo.
Massey Ferguson inasumbua sana hydrolic (winch) ikianza kuchoka
 
New holland 75hp za suma jkt zinachangamoto gani mwenye kuzijua?Nampango wa kuichukua.
Kwanini usiende kwa Sonalink. Naona km wapo vizuri.

Angalizo.
Sina uzoefu nazo katika matumizi ila kwa maelezo ya mafundi.
 
Naifutilia hii maada kwa ukaribu sana, maana nimejipanga nami nipate tractor mwezi wa 6 hivi mwakani.
Nimewasiliana na agent wa new Holland, ameniambia 4wd yenye 75hp ni 63M bila jembe wala trela. Ila fundi wangu anasema hiyo ndio chuma ya uhakika zaidi kuliko hizi used.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…