Msaada namna ya kupata visa ya Australia

kumtembelea rafiki angu
Tena tangu Waafrica walioenda kwenye michezo ya common wealth mwaka huu wamepotelea hook sidhani kama itakuwa rahisi kutuamini tena
 
Angalia dstv mida ya kama saa 1 jioni chanel 132,kuna kipindi kinaitwa border patrol, usipokuwa makini hao jamaa huwa wanakurudisha airport
 
kumtembelea rafiki angu
kwenye interview wakikiuliza tena hilo waambie umeacha watoto na wanakutegemea wewe pia mama yako anakutegemea wewe ikibidi nenda picha ukiwa umepiga na watoto Wako hata kama ni wa mchepuko Wako yule wa TRA...
 
ha ha
 
Hawa watu wanaboa sana, li passport nalo kulipata watakuzungushaaaaaaaa mara viambatanisho mara nini wameniboa sana tena sana. Kwa pass si haki mtu kuwa nayo? Nfyuuuuuuuuuuii! Visa ndo usiseme.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
habari za leo wanajamvi., samahani naombeni msaada jinsi YA kupata visa ya Australia yaani vitu gani napaswa kuambatanisha? .nimeomba mara ya kwanza nimenyimwa nimeambiwa niseme evidence kwamba nitarud na siwez kuzamia huko sasa sijajua niweke vitu gani.msaada tafadhal
asante
Kweli inaonekana unaenda zamia sababu hujua hata lengo la safari yako.
 
Wewe hautarudi kbs, na wameliona hilo
Hata mimi nimemwambia kuwa hana lolote shida ndio inampeleka anataka kuzamia,hiyo nauli afadhali angejiongeza nayo kwenye ujasiria mali.Wengi hudhani ugaibuni maisha ni kama peponi,kama yamekushinda hapa uayaweza huko kusiko na hata mjomba wa ''nitumie kwa Mpesa''
 
mfyuuu kama huna ushauri piga kimya unafikiri kila anaetaka kwenda nje anataka kuzamia..ndo mawazo yako yalipoishia eeh
 
Hawa watu wanaboa sana, li passport nalo kulipata watakuzungushaaaaaaaa mara viambatanisho mara nini wameniboa sana tena sana. Kwa pass si haki mtu kuwa nayo? Nfyuuuuuuuuuuii! Visa ndo usiseme.
umeona eeh wanakera hataree
 
Back
Top Bottom