Msaada namna ya kupika meat balls

Msaada namna ya kupika meat balls

Ask me

Member
Joined
Apr 28, 2015
Posts
27
Reaction score
14
Habari wapishi wazuri,

Naomba kufundishwa namna ya kupika meat balls
 
Ask me

Unatakiwa uwe na nyama ya kusaga 500g - 1000g, Yai moja, pilipili manga, bread crumbs kama nusu kikombe hivi au unaweza kutumia vipande viwili vya mkate instead, chumvi kidogo, vitunguu maji viwili au vitatu vilivyokatwa kidogo kidogo au ukitaka unaweza kukwangua kama carrot, matone mawili ya Soy souce, pilipili kama unapenda, persley au oregano kidogo kuongeza ladha na harufu nzuri.

Changanya vyote pamoja, ukisharidhika na mchanganyiko wako finyanga meatballs zako tayari kwa kukaanga.

Ukishakaanga unaweza kutengenezea souce ya NYANYA au ya CREAM au ya NAZI. Tayari kuliwa na spaghetti, macaroni, wali n.k
 
Last edited by a moderator:

weka harufu mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom