mischa JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 368 Reaction score 177 Jan 23, 2013 #1 Wakuu naomba mnijuze namna ya kutengeneza supu ya aina yoyote kwaajili ya mgonjwa isimkifu,vifaa vyoye nnavyo.
Wakuu naomba mnijuze namna ya kutengeneza supu ya aina yoyote kwaajili ya mgonjwa isimkifu,vifaa vyoye nnavyo.
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,767 Reaction score 6,575 Jan 23, 2013 #2 tumia supu ya samaki na uweke ndimu nyingi kukata harufu ya samaki na usitie viungo vingivingi weka ndimu na tangawizi au K/swaumu..
tumia supu ya samaki na uweke ndimu nyingi kukata harufu ya samaki na usitie viungo vingivingi weka ndimu na tangawizi au K/swaumu..
mischa JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 368 Reaction score 177 Jan 24, 2013 Thread starter #3 Asante sana.