Msaada:Namna ya kupika supu aina yoyote kwa mgonjwa

Msaada:Namna ya kupika supu aina yoyote kwa mgonjwa

mischa

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
368
Reaction score
177
Wakuu naomba mnijuze namna ya kutengeneza supu ya aina yoyote kwaajili ya mgonjwa isimkifu,vifaa vyoye nnavyo.
 
tumia supu ya samaki na uweke ndimu nyingi kukata harufu ya samaki na usitie viungo vingivingi weka ndimu na tangawizi au K/swaumu..
 
Back
Top Bottom