Mbabazi gitema New Member Joined Jan 13, 2024 Posts 1 Reaction score 0 Jan 13, 2024 #1 Habarini za muda huu wakuu, Msaada namna ya kurudisha tena msg iliyofutika bahati mbaya anaefahamu njia ya haraka pls nijulishe yani ni msg muhimu sana kwaajili ya malipo.
Habarini za muda huu wakuu, Msaada namna ya kurudisha tena msg iliyofutika bahati mbaya anaefahamu njia ya haraka pls nijulishe yani ni msg muhimu sana kwaajili ya malipo.
Dr Matola PhD JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 60,050 Reaction score 104,466 Jan 13, 2024 #2 Mbabazi gitema said: Habarini za mda huu wakuu msaada namna ya kurudisha tena msg iliyofutika bahati mbaya anaefahamu njia ya haraka pls nijulishe yani ni msg muhimu sana kwaajili ya malipo Click to expand... Undo.
Mbabazi gitema said: Habarini za mda huu wakuu msaada namna ya kurudisha tena msg iliyofutika bahati mbaya anaefahamu njia ya haraka pls nijulishe yani ni msg muhimu sana kwaajili ya malipo Click to expand... Undo.
ILISACHA JF-Expert Member Joined Oct 29, 2019 Posts 2,184 Reaction score 4,030 Jan 13, 2024 #3 Bado hujasema!