Msaada: Namna ya kusafirisha bidhaa kutoka Malaysia

Msaada: Namna ya kusafirisha bidhaa kutoka Malaysia

lossoJR

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
2,711
Reaction score
2,384
Habari viongozi..
Mwenye details kamili juu ya namna ya kuweza kusafirisha bidhaa ndogo ndogo kama simu, laptops na mengineyo kutoka Malaysia.. ni njia gani huwa mnatumia ambayo ni Safe zaidi bila gharama..
Msaada mliopo Malaysia mnawatumia vipi ndugu zenu bidhaa huku.. pia tuliopo bongo ni namna gani mnatumiwa kutoka huko.
 
Mkuu kua serious kidogo basi kweli unataka kusafirisha kitu kifike SALAMA bila GHARAMA
 
Kweli Jf si ile ya zamani..
Watu hawana info kabisa
 
Back
Top Bottom