Msaada namna ya kusafirisha mzigo kwenda Lahore, Pakistan

Rumi96

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2019
Posts
818
Reaction score
1,975
Wakuu!

Habari ya majukumu.

Naomba msaada wa kampuni ya usafirishaji kwenda Pakistan, gharama kwa mzigo wa nusu kilo, iwe kwa ndege au meli. Mzigo ni iliki.

Natuma sample nusu kilo, akiipenda, nitatakiwa kumtumia kama kilo 100+.

Natanguliza shukrani.
 
Tumia DHL KUTUMA HUO MZIGO WAKO.HUYO ANAE POKEA KUPE ADDRESS YAKE MZIGO UBAFIKA CHAP TU
 
Ahsante mkuu, nipo mkoani ngoja niwa google.
 
Dah rumi ndg yang hiyo ni changamoto kubwa sn sn niliwahi fanya kama wewe but mm nilitumia Swissport ka mzigo kadogo tu kalifika laki 5 kwenda Bangladesh, so hiyo sample Kwako hata ikifika kusafirisha hizo kilo 100 itakuwa very expensive ndg yng but you may try.

Back
Top Bottom