JOHNGERVAS
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 1,011
- 1,681
Wakuu habari za Leo, naomba msaada kuna Rafiki yangu alikuwa na biashara ya kuuza Vinywaji vya Jumla lakini baadae akapatamatatizo (aliibiwa) Hivyo kw amuda mrefu hakuweza kufanya biashara tena.
Badae alirudi kwenye biashara lakini alibadilisha aina ya biashara na mtaji pia mdogo hivyo hajafikia viwango vile vya Kutumia mashine ya EFD maana sasa ana Duka Genge tu.
Muda mrefu hajatumia mashine yake, hivyo anauliza Je kuna utaratibu gani wa Kurudisha hiyo machine? Je akiednelea kubaki nayo hawezi kuja kuhesabiwa kwamba amekwepa Kodi?
utaratibu kwa Ujumla kisheria ukoje kuirudisha au kuomba Kuisitisha hadi biashara itakapokuwa tena.
TRA Tanzania TRA77 TRA