Msaada namna ya kutengeneza logo kama hiyo kwenye picha

Msaada namna ya kutengeneza logo kama hiyo kwenye picha

Mdeke_Pileme

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
1,596
Reaction score
2,226
Screenshot_20221011-144137.png
 
Attachments

  • Screenshot_20221011-144137.png
    Screenshot_20221011-144137.png
    180.7 KB · Views: 22
Nimeshatuma taarifa kwenye kamati kuu, wanakuja... andaa kibunda flani ivi, watakuelewa mkuu!
 
Jifue kwanza, jifunze Adobe illustrator na Adobe Photoshop, mwisho wa kujifunza utagundua unaweza design vitu vingi
Angalia Tutorials YouTube

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Short and clear, afate hiko ulichosema.

Lastly, kazi za design unapaswa uwe umeiridhia ndani ya moyo wako, usijifunze ili tu ujue illustrator. Bali jifunze kwa kuwa unatamani kuwa mzuri ktk maeneo hayo.
 
Hiyo ni Photoshop mockup. Unaweza kuzifanya ukiwa na Photoshop ktk computer yk. Au pia unaweza kuGenerate logo kwa kupitia sites mbalimbali zinazoshughulika na mockups... Unalipia kisha wanakutumia logo yk ikiwa ktk 3d kama hivyo. Kwa kuelewa zaidi pls google Photoshop mockups.

Logoriddim:: Logo designer
 
asannte mkuu ñímékueléwà ngójà níífuatilié LOGORIDDIM
 
Back
Top Bottom