Bashatu
JF-Expert Member
- Nov 8, 2015
- 834
- 885
Mkuu lutataza afadhari umesema kweli. Nacheka watu wanapokariri kuwa yai la kuku wa kisasa lina kiini cha njano kufifia.Kumbe mmepitwa na wakati kiini cha njano huletwa na kuku kula majani siku hizi kuku wakisasa wanapewa majani kwa wingi na unauziwa mayai bei ya kienyeji
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
RANGI YA KIINI NI CHAKULA ANACHOKULA KUKU JAMANI.
Mimi nafuga saso kienyeji, nawapa pumba kidogo, sijawafungia hivyo muda mwingi wanakula magugu, mabaki ya mboga majani na mabaki ya chakula sababu kuna dampo, kiini cha mayai ni njano kali sana.
Lakini kuku ukimfungia ukamlisha chakula cha kuchanganya tu basi lazima kiini kisiwe cheupe.
Na wafugaji wamegundua hili kama fursa. Anafuga layers, anawapa majani kila siku wanataga mayai ya kiini cha njano then anauza mayai kwa bei ya mayai ya kienyeji be careful
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app