Una jisajili kama nani? Mbona rahis sana, tengeneza account alafu jaza taarifa zako na kuattach vyeti as mfumo ulivyo then generate bills, zilipie subiri body ikae wakikupitisha kafate cheti chako.