Msaada namna ya kuweka dark mode kwenye Samsung J7

Nenda Play Store Chukua AP15 Iweke
Nashukuru. naomba msaada namna ya ku customize settings maana dark mode inaonekana kwenye homepage peke yake. nikifungua apps bado ni white kawaida
 
Nashukuru. naomba msaada namna ya ku customize settings maana dark mode inaonekana kwenye homepage peke yake. nikifungua apps bado ni white kawaida
Inabidi usett kila app .. unaenda kwenye appearance then chagua system mode
 
Pia unaweza chukua theme kwenye samsung store,za rangi unayotaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…