Habari!
Nimekwama hapo tutani. Nahitaji kuset ili ionekane kama hivi kwenye blog yangu (blogger). Hapo paliwekewa kimvuli cha kijani View attachment 1898011
Unatumiaje hapa maana nimekwama? Lengo langu zitokee hizo headline kama Firmware, trick n.k kwenye blog yangu View attachment 1898015
Shukurani:
Kama hiyo template umeinunua kwa developer basi mwambie akupe code ya kuweka hapo mara nyingi zipo kwenye manual file. Kama umeichakachua/download kibishi basi wasubiri wajuzi waje na gharama zao
Sijui hata code nabahatisha tu. Shida yangu nahitaji post zitokee km kwenye picha ya kwanza yenye kimvuli cha kijani.
Hapo nimekutana na CSS, Related posts display na Post navigation display.
Nimejaribu imenishinda kwahiyo nikaja hapa kuomba msaada