Provision tax wanakukadilia TRA inategemea na mtaji umeandika sh. ngapi kwenye Memmart.Habari wanajukwaa, nimesajili kampuni naomba mwenye uelewa namna ya kufanya provission na makadirio ya kodi ya TRA anisaidie.
Mhh sijawahi sikia hii mbona kina MO ,Azam wangekoma. Nachojua mimi wanakadiria kutokana na matarajio ya mauzo siyo mtaji. Ndiyo maaana wanakuuliza unategemea mauzo kwa siku kiasi gani.Provision tax wanakukadilia TRA inategemea na mtaji umeandika sh. ngapi kwenye Memmart.
Unaelewa maana ya provisional tax?Mhh sijawahi sikia hii mbona kina MO ,Azam wangekoma. Nachojua mimi wanakadiria kutokana na matarajio ya mauzo siyo mtaji. Ndiyo maaana wanakuuliza unategemea mauzo kwa siku kiasi gani.
Huwezi kadiriwa kwenye mtaji hakunaga kitu kama hichoUnaelewa maana ya provisional tax?
Uko sahihi.Huwezi kadiriwa kwenye mtaji hakunaga kitu kama hicho