Msaada namna ya makadirio ya TRA

Msaada namna ya makadirio ya TRA

Nyabiri

Member
Joined
Apr 15, 2017
Posts
58
Reaction score
38
Habari wanajukwaa, nimesajili kampuni naomba mwenye uelewa namna ya kufanya provission na makadirio ya kodi ya TRA anisaidie.
 
Provision tax wanakukadilia TRA inategemea na mtaji umeandika sh. ngapi kwenye Memmart.
 
Mhh sijawahi sikia hii mbona kina MO ,Azam wangekoma. Nachojua mimi wanakadiria kutokana na matarajio ya mauzo siyo mtaji. Ndiyo maaana wanakuuliza unategemea mauzo kwa siku kiasi gani.
 
Unaelewa maana ya provisional tax?
 
Back
Top Bottom