asante kwa maelezo mazuri mkuu, je, kutakua na tofautigani endapo kama utachemsha maziwa, pia unatumia vanila gani ?Maziwa fresh yasiyochemshwa,yaweke ndan ya chombo cha kigae,mm natumilia jug la kigae,yafunike,na uyawache for two days,alaf funua,maji maji mepes yatakua chin ya jug,mtind utakua unaelea juu,utauchukua mtind wako,utakua tayar,uhifadh ktk fridge,,mm napenda nkishautoa natia ktk bleander natia na vanilla nasaga,then natia ktk fridge
barakaAllahufikSukar pia unatia wakat wa kutia vanila,but mm spendi
WaiyyaakAisaee MashaAllah wee fanana!!!
barakaAllahufik
mie umenishinda kbs... sikuweziWaiyyaak
Leshhhhmie umenishinda kbs... sikuwezi
Ahsante sana!Maziwa fresh yasiyochemshwa,yaweke ndan ya chombo cha kigae,mm natumilia jug la kigae,yafunike,na uyawache for two days,alaf funua,maji maji mepes yatakua chin ya jug,mtind utakua unaelea juu,utauchukua mtind wako,utakua tayar,uhifadh ktk fridge,,mm napenda nkishautoa natia ktk bleander natia na vanilla nasaga,then natia ktk fridge
umejifuna lini hayo yote!!!!! maana wasiku hiI hawajui ila mayai tu!!!Leshhhh
Hahahahaumejifuna lini hayo yote!!!!! maana wasiku hiI hawajui ila mayai tu!!!
Yogurt in english mtindi kiswahil,i cant see any differenceUnash. Ngap (Natania bhana) .. Then kuna mtindi na yoghurt maelekezo uloyapata humu ni ya mtindi n si yoghurt...
Jifunze.. Utaelewa...Yogurt in english mtindi kiswahil,i cant see any difference
Go and check a dictionary plz.Jifunze.. Utaelewa...
Those are technical terms so opt for technical dictionary ndo utapata jibu sahihi..Go and check a dictionary plz.
Ok eleza tafaut yake kwa kutuelezea wanavotengeza uo mtindi na yoghurt kuliko kuweka mabishano[emoji4]Those are technical terms so opt for technical dictionary ndo utapata jibu sahihi..