Msaada: Namna yakutengeneza yogurt

Msaada: Namna yakutengeneza yogurt

mzado

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
1,023
Reaction score
1,532
Salam kwenu wanajukwaa,
kwamuda mrefu hili swala la namna ya kuandaa yogurt zenye ladha mbalimbali ie,vanilla limekua likinisumbua, kwa mwenye ujuzi tafadhali naomba msaada wa namna ya kuandaa yogurt kwanyumbani pasipo kutumia mashine yoyote,
natanguliza shukrani zangu
 
Maziwa fresh yasiyochemshwa,yaweke ndan ya chombo cha kigae,mm natumilia jug la kigae,yafunike,na uyawache for two days,alaf funua,maji maji mepes yatakua chin ya jug,mtind utakua unaelea juu,utauchukua mtind wako,utakua tayar,uhifadh ktk fridge,,mm napenda nkishautoa natia ktk bleander natia na vanilla nasaga,then natia ktk fridge
 
asante kwa maelezo mazuri mkuu, je, kutakua na tofautigani endapo kama utachemsha maziwa, pia unatumia vanila gani ?
 
Yah wengine wanachemsha kdg ukipenda,haina tatizo.arki vanilla flavouring essence
 
vp kuhusu sukari [HASHTAG]#Arabian[/HASHTAG] queen
 
Maziwa fresh yasiyochemshwa,yaweke ndan ya chombo cha kigae,mm natumilia jug la kigae,yafunike,na uyawache for two days,alaf funua,maji maji mepes yatakua chin ya jug,mtind utakua unaelea juu,utauchukua mtind wako,utakua tayar,uhifadh ktk fridge,,mm napenda nkishautoa natia ktk bleander natia na vanilla nasaga,then natia ktk fridge
Ahsante sana!
 
Unash. Ngap (Natania bhana) .. Then kuna mtindi na yoghurt maelekezo uloyapata humu ni ya mtindi n si yoghurt...
 
Back
Top Bottom