Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda sijakwambia aina za yoghurt, kuna yoghurt mgando(set), mkorogo(stirred) na ya tayar kwa kunywa(drink yoghurt)HujAkosea sanaaaaa
Sukari ni vizuri ukaiweka kwenye maziwa mabichi ukachemsha kwa pamoja hii husaidia kupunguza contamination, na vanilla flavor utaiweka baada ya kupoza maziwa na kabla ya kuweka culture.Mwendo ugimbi, wapi umeweka vanilla wapi sugar, vanilla ipi nzuri hujasema Ile pure ya ambayo utamchemshia humo kwa kuikwangua toka ndani shell, au hii ya paketi