thomas1234F
Member
- Jan 27, 2017
- 5
- 0
Natafuta Nani kaiimba haya mashairi ni nyimbo ya bongo Flava ya zamani
Najua unapenda sauti yangu
Najua unapenda mashairi yangu Ila mbona unaponda kuhusu kipaji changu
Namtafuta
Najua unapenda sauti yangu
Najua unapenda mashairi yangu Ila mbona unaponda kuhusu kipaji changu
Namtafuta